JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wananchi wapewa rai kushiriki wiki ya kitaifa ya ufuatiliaji na tathmini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wananchi wamepewa wito wa kushiriki katika wiki ya Kitaifa ya Ufuatiliaji na Tathmini itakayofanyika Jijini Arusha ambayo itahusisha kutoa elimu itakayowawezesha kutoa taarifa za Ufuatiliaji na Tathmini na Ufuatiliaji wa Miradi mbali mbali ya kimaendeleo…

Wataalamu wa manunuzi wahimizwa kuzingatia miongozo ya ununuzi wa vifaa

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Wataalamu wa ununuzi na ugavi Serikalini wamehimizwa kuzingatia miongozo ya Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuepuka manunuzi vifaa vyenye ukomo wa matumizi ambavyo husababisha madhara mbalimbali kwa afya ya binadamu na mazingira. Hayo yamesemwa Agosti 27,…

Tanzania yahimiza mikakati kukuza biashara mtandao

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Tanzania imezitaka taasisi za posta Afrika kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali kwenye shughuli zote ili kuendeleza biashara mtandao na kufukisha huduma zaidi za kifedha kwa jamii. Akifungua mikutano ya kamati mbalimbali za Umoja wa Posta Afrika…

STAMICO yafanya mageuzi, yaongeza mapato kutoka bil.1.3/- hadi bil.61.1/-

Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Dar Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limefanya mageuzi makubwa ambayo yameliwezesha shirika hilo kuongeza mapato kutoka shilingi bilioni 1.3 hadi shilingi bilioni 61.1 sawa na ongezeko la asilimia 4425. Hayo yamebainishwa leo Agosti 28,2023 na…

Muhimbili kuwa kitovu upasuaji wa matundu madogo Afrika Mashariki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo itakuwa kitovu cha upasuaji kwa njia ya matundu madogo katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara kutokana na…