Latest Posts
TANROAD yarejesha mawasiliano ya barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya saa 48
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam TANROAD imefanya jitihada za haraka kurejesha mawasiliano barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya masaa 48 baada ya daraja la Tegeta kingo zake kubomoka kutokana mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi kuamkia Jumapili na kusababisha magari…
Mwakinyo : Wakongo ni wacheza bolingo, njooni muone ngumi Jan 27
Na isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar Bondia Hassan Mwakinyo amesema hana hofu yoyote na mpinzani wake Mbiya Kanku kutoka DRC Congo, atakayepigana naye Januari 27, 2024, kwani sifa kuu ya taifa hilo ni kucheza bolingo na si ngumi. Mwakinyo ambaye atapanda…
Simba, suala la ujenzi wa uwanja mmepigaje hapo?
Na Isri Mohamed,JamhuriMedia, Dar es Klabu ya soka ya Simba jana Januari 21,2024 imefanya mkutano wake mkuu wa kujadili katiba yao, kutoa mrejesho wa mapato na matumizi ya klabu kwa mwaka 2023, sambamba na makadirio kwa mwaka 2024. katika mkutano…
Dk Biteko aongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa China
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu. Akiwa nchini, Mhe. Guozhong anatarajiwa…
Timu ya Mlandege wapeleka kombe Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha…
Waziri Mkuu ashiriki mkutano wa tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika…





