JWTZ watanda Mirerani

*Sasa hakuna kutorosha jiwe nje ya uzio *Wazalendo furaha, wakwepa kodi kilio SIMANJIRO NA MWANDISHI WETU Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokewa kwa shangwe kwenye dhima yake mpya ya kulinda migodi ya tanzanite, Mirerani mkoani Manyara. Uwepo wa askari wa JWTZ wenye silaha na magari ya deraya katika eneo hilo, ni utekelezaji…

Read More

Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. Rais Magufuli amemteua Ndg. Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu…

Read More

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki wa chama hicho Taifa.

Read More

KOCHA YANGA ATIMKIA KENYA

Kocha aliyekuja nchini takribani siku mbili zilizopita, Razaq Siwa, amerejea kwao Kenya bila kufahamu hatua ipi ya mazungumzo wamefikia na Yanga. Siwa ambaye ni kocha wa makipa, aliwasili nchini kisha kupokelewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Hussein Nyika, kwa ajili ya mazungumzo ya kuanza kazi na klabu hiyo. Lakini mpaka sasa tangu atue…

Read More