Latest Posts
Kinana: Wapinzani jengeni hoja, acheni kejeli kwa Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinanaa amewashauri na kuwakumbusha wanaiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Amesema lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa…
Mlipuko waua zaidi ya watu 40 nchini Pakistan
Mlipuko katika jimbo la kaskazini magharibi mwa Pakistan la Khyber Pakhtunkwa umeua zaidi ya watu 40, maafisa wamesema. Mlipuko huo ulitokea katika mji wa Khar unaokaliwa na kabila la Wabajaur, ambao uko karibu na mpaka kati ya Pakistan na Afghanistan….
UTT AMIS yatoa elimu ya uwekezaji kwa wahariri, yapata faida ya trilioni 1.5
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika kipindi cha miaka miwili mfululizo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS Tanzania imepata faida kutoka sh.bilioni 539 hadi sh.trilioni 1.5 sawa na asilimia 185. Hayo yameelezwa Dar…
Rais Samia apeleka neema ya maji Kaliua
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua wamepongeza juhudi za Serikali ya Awamu Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwatatulia changamoto ya maji pamoja na kuwapokea wakandarasi wa ujenzi wa maji miji 28 waliokabidhiwa rasmi eneo la…
Waziri Mkuu awapongeza Watanzania walioshiriki kongamano la uchumi Urusi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapongeza wafanyabiashara 19 kutoka Tanzania ambao walishiriki maonesho ya kibiashara kwenye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na Kibinadamu la Afrika na Urusi lililomalizika Julai 28, mwaka huu. Wafanyabiashara hao wanamiliki makampuni yanayohusika na sekta za elimu,…
‘Wenye ulemavu wana haki sawa na wengine’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu kutowaficha watoto wao ndani akisema kufanya hivyo ni kuwanyima haki zao za msingi. Ummy…