JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mchungaji aliyeongoza mazishi ya binti aliyeuawa, ashtakiwa kwa mauji yake

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Mchungaji mstaafu wa kanisa la Marekani ambaye aliongoza mazishi ya msichana wa miaka minane aliyetekwa nyara takriban nusu karne iliyopita nyara ameshtakiwa kwa mauaji yake. Gretchen Harrington alitoweka katika kitongoji cha Philadelphia cha mji wa…

Gobore 150 zakamatwa Msomera

Za8di ya silaha za kijadi aina ya gobore 150 zinazomilikiwa kinyume na sheria zimekamatwa katika ijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga . Hayo yamesemwa na MKuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando wakati akisoma taarifa ya maendeleo ya kijiji…

Balozi awatoa hofu Watanzania treni SGR

Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavura amewatoa hofu wananchi juu ya maendeleo ya utengenezaji seti 10 za treni za kisasa na vichwa 17 vya treni vya umeme vitakavyotumika katika reli ya kisasa SGR nchini. Balozi Mavura ameyasema hayo…

Programu kilimo kidigitali kuvutia vijana

Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya teknolojia ya kilimo vijana nchini wametakiwa kuwasilisha bunifu zao za teknolojia ya kilimo ili kupata suluhu na kuongeza nafasi za ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu maalum ya kuwasilisha teknolojia hizo za kidigitali, Waziri …

Askari wa kike watakiwa kushiriki operesheni za kulinda amani

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam. Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili…