JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mkutano wa Polisi wanawake duniani fursa kuwajengea uwezo

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es salaam Mkutano wa Umoja wa askari wa kike duniani (IAWP-international Association of Women Police) kanda ya Afrika unatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia Julai 22-29, 2023 ambapo utaambatana na mafunzo…

Magonjwa yasiyoambukiza huchangia asilimia 33 ya vifo nchini

Na Mwandishi Wetu Magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi ya vifo milioni 41 sawa na asilimia 71 ya…

SMZ kulinda urithi wa hifadhi Mji Mkongwe

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali yake inaendelea kulinda urithi wa hifadhi ya kimataifa ya Mji Mkongwe kwa kuzingatia kanuni na taratibu zilizowekwa. Dk Mwinyi amesema hayo Ikulu, Zanzibar jana alipokutana na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa…

Dkt.Biteko afuatilia maendeleo ya mradi uchimbaji madini ya mchanga mzito Pwani, Kigamboni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amefuatilia maendeleo ya ulipaji fidia kwa wananchi wa maeneo ya Mwasonga, Sharifu na Madege yaliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ili kupisha eneo linalotarajiwa kujengwa mradi wa uchimbaji madini ya…

Mhagama: Kampeni ya Kill Challenge 2023 kuchochea malengo ya kuzifika sifuri tatu

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI ambapo mwaka huu mpya wa fedha wa 2023/2024 zimetengwa fedha nyingi zaidi kuhakikisha kila Wizara na Taasisi ya Umma zinawezeshwa katika mapambano…

TCRA yabaini kupungua idadi za simu za kimataifa zinazoingia nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)kupitia Mfumo wake wa Usimamizi wa simu za ndani na kimataifa imebaini idadi ya dakika za simu za kimataifa zinazoingia nchini kupungua kutoka dakika 3,136,692 mwezi Julai 2022 hadi kufikia 2,900,165…