Tanzania si nchi masikini, wafanyakazi walipwe vizuri
Leo ni Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. Tunawapongeza wafanyakazi wa Tanzania ambao, licha ya kufanya kazi katika mazingira magumu na kupata ujira mdogo, wameendelea kuwa wavumilivu. Uvumilivu wao hautokani na woga, bali inawezekana ukawa unasababishwa na namna Watanzania walivyolelewa kuishi kwa…
Bunge lamkaanga JK
*Kura ya kutokuwa na Imani ni kikombe cha shubiri*Wabunge wanajipanga kupata kura 176 kumwadhibu*Spika wa Bunge ameahirisha tatizo, Zitto aibuka shujaaWIKI iliyomalizika ilikuwa ni ya msukosuko wa hali ya juu baada ya Bunge kuamua kumkaanga Rais Jakaya Kikwete kupitia mgongo…
Mgodi wanunuliwa kwa Sh mil. 90 wauzwa Sh bil. 4.5
Mheshimiwa Naibu Spika, kwanza ningependa kuchangia hoja ya ubinafsishaji. Kama kuna eneo ambalo nchi hii imeuzwa, kama kuna mchakato ulifanywa wa kuuza taifa hili basi ni mchakato wa ubinafsishaji. Watu wamezungumza maeneo mengi sana kuhusu hasara ambazo tumezipata kwenye ubinafsishaji,…
Gari latengenezwa kwa Sh mil. 11, lauzwa kwa Sh mil. 1
Kwanza nimpongeze CAG pamoja na watu wa ofisi yake. Niwapongeze wenyeviti wote watatu kwa taarifa nzuri walizotusomea leo Mwenyekiti, mimi naona suala hili ni kubwa na ni zito. Nadhani ni zito hata zaidi ya kupitisha bajeti. Kwa sababu bajeti tunapopitisha,…
Mabwawa ‘hewa’ ya Sh milioni 720 yachimbwa
Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nisitofautiane na wenzangu wote waliozungumza. Hali ya Serikali yetu kwa ujumla kwa matumizi ya fedha ni mbaya na wengine wanafika mahali kwamba Serikali hii sasa, hasa kwenye matumizi ya fedha za Serikali, imebaki kuwa kama shamba la…
Mbunge: Wezi fedha za umma wanyongwe
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Mohamed (CCM), ni miongoni mwa wabunge waliochangia na kulaani vikali matumizi mabaya ya fedha za umma na hujuma zinazofanywa na viongozi. Katika mchango wake bungeni wiki iliyopita, pamoja na mambo mengine, alishauri wafujaji fedha za…