JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JWTZ latangaza nafasi za vijana kujiunga na jeshi

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa vijana Watanzania wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne hadi Shahada ya Uzamili ambao wamemaliza Mkataba wa Mafunzo ya kujitolea…

Waziri Kikwete:Zifuatwe njia nzuri kuwapa motisha watumishi

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Ridhiwani Kikwete ameitaka Idara ya Mishahara,Motisha na Marupurupu kubuni njia mbalimbali za kutoa motisha kwa watumishi wa umma ambazo zitatumiwa na waajiri Serikalini ili kuwajengea ari…

Mkataba wa kusafisha, kukagua bomba la gesi asilia wasainiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeshuhudia utiaji saini wa mkataba wa kazi ya kusafisha na kukagua bomba la gesi asilia kati ya Kampuni ya Maurel and Prom Exploration Production Tanzania Limited na Kampuni…

Jukwaa la Maendeleo ya Utamaduni kushirikiana kukuza utamaduni nchini

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Uswisi hapa nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa Leo Näscher kuhusu ushirikiano…

Ado:Rais Samia ameitoa tasnia ya habari gizani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ina mengi ya kujivunia na kuwa na historia ya kipekee nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu,wakati wa Maadhimisho ya…

Chongolo amaliza ziara yake Simanjiro kwa stahili hii

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amemaliza ziara yake Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambapo pamoja na kukagua uhai wa chama sanjali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu kwa…