Latest Posts
Yanga yazidi kung’ara kwa Mkapa
Na Tatu Saad, Jamhuri Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania ambao ni washiriki pekee wa kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Sc, wamewaburuza Real Bamako ya Mali mabao 2-0, katika Dimba la Benjamin Mkapa. Yanga wameendeleza ubabe katika dimba…
Rais Samia:Tuungane kumkomboa mwanamke wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) kutumia nguvu ya Chama chao kuungana na kila chama cha siasa kumkomboa mwanamke wa Tanzania.Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia…
Ibenga aitaka huduma ya Inonga
Na Tatu Saad, JAMHURI Kocha mkuu wa Klabu ya Al hilal ya nchini Sudan, Florent Ibenge ameanza kuwashawishi viongozi wa klabu hiyo kufanya mchakato wa kupata saini ya Beki muhimu wa klabu ya Simba Sc, Henock Inonga raia wa Congo….
Polisi wanawake watoa msaada kwa Askari wagonjwa
Na Mwandishi Wetu Jamhuri Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kupitia mtandao wa Polisi wanawake leo Machi 08, 2023 katika kusherehekea siku ya wanawake duniani wamewakumbuka askari ambao waliumia wakati wakitekeleza majukumu yao ya kazi kwa kwa kuwapa misaada ikiwemo fedha….
Mbowe afunguka mazito mbele ya Rais Samia
Mwanyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe amemwambia Rais Samia kuwa ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi kuna wahafidhina wanaotamani kukwamisha maridhiano na mchakato wa katiba mpya kuwa hawamtakii mema. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Machi 08,2023…