JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Chalamila avunja uongozi soko la Mabibo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila, Agosti 17,2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kuagiza  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kufanya uchunguzi  wa kina katika soko hilo na watakao bainika hatua za…

Sekta ya madini kuchangia asilimia 10 ifikapo 2025

Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia, Dodoma MAELEZO Muelekeo wa Sekta ya Madini unalenga katika kuhakikisha Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa unafikia asilimia 10 au zaidi ifikapo mwaka 2025 kama inavyofafanuliwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa,…

Wanajeshi 36 wauawa Nigeria

Takriban wanajeshi 36 wa Nigeria wameuwawa katika mashambulizi mawili wakati wa operesheni dhidi ya magenge yenye silaha huko katika jimbo la kaskazini ya kati la Niger. Wanajeshi hao wameuawa kufuatia mashambulizi mawili wakati wa operesheni dhidi ya magenge yenye silaha…

Wakulima walalamika kutolipwa pesa za korosho Lindi

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Pande plot wilayani Kilwa mkoani Lindi wamelalamika kutolipwa pesa za korosho za msimu uliopita. Akizungumza na JAMHURI DIGITAL kwa niaba ya wenzake Said Danga amesema,hawajalipwa malipo ya korosho na hawana tarifa zozote…

DAS Songea aitaka jamii kujitokeza zoezi la unyweshaji wa kinga tiba ya usubi

Na Cresensia Kapinga, Jamhuri, Songea Katibu Tawala Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mtela Mwampamba, ameitaka jamii kujitokeza kwa wingi katika zoezi la unyweshaji wa kinga tiba ya Usubi, magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele na yamekuwa yakiwaathiri sana jamii maskini. Hayo ameyasema…