JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NMB yakabidhi misaada ya mil. 51/- kwa shule 9 za sekondari, msingi Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada ya viti na meza zake 134, madawati 200 na mabati 400 kwa shule…

RC Kunenge ameziagiza Halmashauri kuandaa mikakati itakayosadia kuongeza mapato

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge amezielekeza Halmashauri za mkoa huo kuandaa mikakati thabiti itakayoziwezesha kuongeza ukusanyaji mapato ili kuisaidia serikali kutoa huduma bora kwa wananchi wake. Kunenge ameyasema hayo kwenye kikao kazi maalum kilichofanyika…

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan…

Wakulima wa mahindi Ruvuma waiomba Serikali kupanga bei maalumu ya zao hilo

Na Cresensia Kapinga,Namtumbo. Wakulima wa zao la mahindi mkoani Ruvuma wameiomba Serikali ione umuhimu wa kuweka bei ya zao hilo ambayo inafafana na gharama ya uzalishaji tofauti na hivi sasa kilo moja ya mahindi wakala wa hifadhi ya chakula kanda…

DC Mbinga atoa siku saba wanaoishi Hifadhi ya mlima Amani Makolo kuondoka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbinga Mkuu wa Wilaya Mbinga Aziza Mangosongo alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkeke, kata ya Amani Makolo, Akiwataka wananchi wote wanaoishi kwenye eneo la hifadhi ya mlima amani…