Latest Posts
Rais Samia aelekeza wananchi waliovamia Hifadhi Bwawa la Mindu kupatiwa viwanja
Siaa atatua migogoro ya ardhi Morogoro hadi usiku Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza wananchi 357 wa kata ya Mindu mkoani Morogoro waliovamia eneo la hifadhi…
Chalamila atembelea kiwanda cha kisasa cha kuzalisha vifaa vya umeme Kigamboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 22,2023 ametembelea kiwanda cha Kisasa cha Elsewedy kinachozalisha vifaa vya Umeme kilichoko Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar es Salaam. lbert Chalamila akiwa katika kiwanda…
Mwandishi wa JAMHURI ang’ara tuzo za TMDA
Na Mwandishi wetu Jamhuri Media Dar es Salaam Antony Mayunga ambaye nimwandishi wa habari wa gazeti la JAMHURI ameshinda tuzo ya hamasa kwa waandishi wa habari wanaoandika habari kuhusu, utoaji wa elimu kwa jamii juu ya udhibiti wa ubora usalama…
Mamlaka za Udhibiti Mipakani zaonywa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais , Muungano na Mazingira,imezielekeza Mamlaka za udhibiti zilizopo kwenye maeneo ya mipaka mbalimbali nchini kuhakikisha shehena yoyote ya taka hatarishi inayosafirishwa nje ya nchi,inafuata masharti…
Wanafunzi Shule ya Msingi Islamic Modern waiomba Serikali kuongeza nguvu ujenzi wa maabara
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuiMedia, Pwani Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chalinze Islamic Modern, Bagamoyo mkoani Pwani, meiomba Serikali kuelekeza nguvu katika ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi kuanzia elimu ya msingi ili kuwapa uelewa wa masomo ya sayansi kwa vitendo…





