JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Papa Francis akutana na wahanga wa vita vya Kongo

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani,Papa Francis ameelezea masikitiko yake na kuwapa pole wahanga wa ghasia za kikatili katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Masikitiko hayo aliyatoa jana jioni wakati alipokutana na wahanga wa vita na machafuko ya kisiasa kutoka mashariki…

NHC yalipa kodi bil.22.0/-, gawio kwa serikali la mil.750/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limesema limelipa kodi mbalimbali inayofikia takriban shilingi bilioni 22.0 kwa mwaka 2021/2022 pia limelipa gawio Serikali la sh.milioni 750 kwa mwaka 2021/2022. Shirika limekuwa likichangia kila mwaka gawio la Serikali na…

Mhoja ataka vyama vya ushirika kusimamiwa kikamilifu

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MRAJIS msaidizi wa vyama vya ushirika Mkoa wa Ruvuma,Peja Mhoja amewataka mameneja wa vyama vya msingi na vyama vikuu vya ushirika, kutumia mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU )mfumo ambao utakwenda kurahisisha zoezi la upatikanaji…

Jaji Mkuu:Usuluhishi unachochea uchumi, amani

Na Mary Gwera,Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa umma kujielekeza zaidi kwenye utatuzi wa migogoro mbalimbali kwa njia ya Usuluhishi ili kukuza uchumi, kuokoa muda na hatimaye kupunguza mlundikano wa mashauri mahakamani. Akizungumza wakati wa…