JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maofisa Polisi waliopanda vyeo wala kiapo cha utii, maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Maofisa wa Jeshi la Polisi 155 waliopandishwa vyeo na Rais Samia Suluhu Hassan wamekula kiapo cha utii kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura. Maofisa hao pia wamekula kiapo cha maadili…

Simba wamuacha Ayoub Dar, waelekea Ivory Coast

Kikosi cha klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo kimeondoka kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika kundi B dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa Ijumaa ya Februari 23, 2024. Simba wamesafiri na wachezaji 23,…

Kuelekea masika 2024 :TMA yapongezwa kwa ushirikiano na wadau

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ameipongeza TMA kwa kuendelea kushirikisha sekta mbalimbali nchini katika shughuli za utoaji wa huduma za hali ya hewa….

Nyongo : Serikaki wekeni mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeendelea kutoa wito kwa Serikali kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa ili kuongeza kasi ya upatikanaji wa dawa nchini. Wito huo…

Dk Biteko awasili Mbeya kwa ziara ya kikazi

Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo Asisitiza siasa zisiwagawe wananchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara…