JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mama wa kambo awaua watoto wawili kwa kuwanywesha sumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuwaua watoto wawili wa familia moja kwa kuwanywesha sumu. Kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Richard Abwao, amethibitisha kutokea tukio…

Askari waliotimiza miaka 18 kazini watoa vifaa tiba zahanati ya DPA

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi,Dar es Salaam Askari wa Jeshi la Polisi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam wametoa msaada wa vifaa Tiba katika Zahanati ya Jeshi la Polisi iliyopo chuo cha Taaluma ya Polisi Dar…

Nape:Dk Slaa, Mwambukusi wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini na si sakata la bandari

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Balozi Mstaafu Dkt. Willibrod Slaa, Mpaluka Nyangali maarufu Mdude na wakili Boniface Mwabukusi wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini na sio kutokana na wao…

TFS: Asilimia 96 ya asali ya Tanzania inakidhi viwango vya ubora

Na Dotto Kwilasa, Dodoma Asali ya Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa ubora Afrika, huku asilimia 96 ya sampuli ya asali ya inayozalishwa nchini zilizopelekwa maabala ya kimataifa nchini Ujerumani zilibainika kukidhi viwango vya ubora wa Kimataifa. Hayo yamebainishwa jijini…

Rais Samia adhamiria kufanya mageuzi katika kilimo cha mkonge

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amedhamilia kufanya mageuzi katika kilimo cha Mkonge Kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kusambaza miche 6,991,200 ya mbegu za mkonge bure kwa wakulima wadogo katika Wilaya 16….