JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Shughuli ya kuwaokoa 13 waliozama ziwa Victoria yakwama

Watu 13 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine 14 wakinusurika kifo baada ya kuzama ziwa Victoria eneo la Mchigondo kata ya Igundu Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Igundu, Sumila Nyamkinda Kafumu…

Ummy: Akina mama epukeni mikopo ya kausha damu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilimanjaro Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amewatahadhalisha wanawake kutochukua mikopo itakayowarudisha nyuma kimaendeleo maarufu Kausha damu. Ummy ameyasema hayo alipotembelea wilaya…

Kibamba: Wanahabari msione aibu kusimamia haki zenu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amewashauri waandishi wa habari nchini kutumia uhuru ulioongezeka kwa kuwajibika na kuzingatia sheria. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa majadaliano ya Sheria ya…

Uwanja wa Amaan Zanzibar wakaguliwa maandalizi ya AFCON 2027

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Zanzibar Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi…