Waziri Mkuu awasili nchini akitokea Italia alipomuwakilisha Rais Samia mkutano wa FAO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Waziri Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia  .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)