Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 23 Oktoba, 2023 akizungumza na wajumbe wa kundi la Latini na Amerika kusini katika ukumbi mdogo wa Bunge la Angola wakati wa Mkutano wa 147 wa IPU akiwaomba wampigie kura katika Uchaguzi wa Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 nchini humo.
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akifurahia jambo na Spika wa Seychelles Roger Mancienne (katikati) pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Zungu walipokutana katika Ukumbi mdogo wa Mikutano wa Bunge la Angola uliopo Jijini Luanda nchini Angola leo tarehe 23 Oktoba, 2023. Dkt. Tulia anagombea nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge duniani (IPU) unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 nchini humo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 23 Oktoba, 2023 akizungumza na Wajumbe wa kundi la Latini na Amerika kusini katika ukumbi mdogo wa Bunge la Angola wakati wa Mkutano wa 147 wa IPU akiwaomba wampigie kura katika Uchaguzi wa Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 nchini humo.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Namibia Mhe. Peter Katjavivi (kushoto) pamoja na Spika wa Bunge la Zambia Mhe. Nelly Mutti (kulia) wakati walipokutana katika Ofisi ndogo za Bunge la Angola wakati wa Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ukiendelea nchini humo leo tarehe 23 Oktoba, 2023

By Jamhuri