Latest Posts
LATRA yaweka wazi nauli za mabasi ya mwendokasi,pikipiki
Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA), imetangaza nauli mpya za mabasi ya Mwendo kasi yanayofanya kazi zake jijini Dar es Salaam huku ikijiandaa kupanga nauli za treni ya mwendokasi (SGR) Akitangaza nauli hizo mbele ya waandishi wa habari jana…
Simba wanapotaka Samba na Baikoko zichezwe pamoja
Mna uhakika kwamba kocha Roberto Oliviera ataweza kufanya vizuri akiwa pamoja na Juma Mgunda na Selemani Matola au mnasubiri mambo yaharibike mumshushie lawama Selamani Matola? Sisemi kwamba Robertinho hatafanya vizuri lakini ikiwa atapata matokeo mabaya hata mechi moja kwa sababu…
Kauli ya rais yawaleta wanasiasa kutoa ya moyoni
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kutangaza rasmi kuruhusu kuanza kufanyika kwa mikutano ya vyama vya siasa nchini kuanzia leo ni cha kufufua…
Rais Samia amedhamiria kutatua kero za wanasiasa
Doyo Hassan Doyo ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano na vyama vya siasa kinapaswa kupongezwa kwa kuwa kinaimarisha afya katika siasa za hapa nchini….
Rais Samia: Sasa rukhsa kufanya mikutano ya hadhara
Hatimaye kilio cha wanasiasa cha muda mrefu kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuruhusu kuanza kwa mikutano ya hadhara ambayo itazingatia sheria za nchi. Akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa leo Januari 3,2023, Rais Samia amesema kuwa amefurahishwa na…