Latest Posts
Viongozi wa vyama siasa leo kujadili mwelekeo wa siasa nchini
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wamewasilia katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya viongozi waliowasili ni pamoja na…
Usimba wa Manara katika sakata la Fei Toto
Baada ya kusema ameongea na Feisal Salumu na amemuelewa hivyo atabaki Yanga, hii leo Haji Manara amebandika bandiko la sheria zinazoweza kuibana klabu ambayo itamsajili Fei Toto kutokea Yanga bila kufuata utaratibu. Nimejiuliza maswali kwamba ikiwa walielewana hiyo habari ya…
Ajali yaua watu sita wa familia moja wakitoka kula sikukuu
Watu sita wa familia moja akiwemo baba, anayejulikana kwa jina la Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wanaripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022. Ajali hiyo iliyozua gumzo kubwa…
Mpango awaasa Watanzania kudumisha amani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2023 wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Yohane Bosco iliopo Miyuji mkoani Dodoma katika Ibada ya Misa…