Latest Posts
Singida Stars yaichapa Geita Gold 2-1
Wenyeji, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Mabao ya Singida Big Stars yote yamefungwa na nyota wake wa Kibrazil,…
TCRA yabaini kampuni kutoa huduma za televisheni za satelaiti bila leseni
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na.12 ya 2003, na kupewa jukumu la kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania. TCRA imebaini kuwepo kwa makampuni…
Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi
Waziri Mku Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha wafanyabiashara…
RC Kunenga akagua uwekezaji wa uzalishaji sukari Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Rufiji Serikali mkoani Pwani,imewaasa wananchi wa Kata ya Chemchem ,Utete wilayani Rufiji Mkoani Pwani kupeana ushirikiano pamoja na mwekezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji Sukari Lake Agro sugar estates ,ambae anatarajia kutoa ajira zaidi ya 3,000 na…
Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, nyumba zataifishwa
Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (Anti Drug Unit) “ADU” kwa kushirikiana na Polisi mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanya operesheni, doria na misako iliyofanyika katika maeneo mbalimbali hapa nchini nakufanikiwa…
Kifo cha Pele, Brazili yaanza siku tatu za maombolezo
Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pele alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pele alicheza huko Brazil, ilisema katika taarifa…