Rais Mwinyi afungua wa skuli ya sekondari ya Tumekuja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) alipotembelea  darasa Kompyuta na Kuwasalimia Wanafunzi   baada ya  kuifungua   Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wanafunzi wa Skuli mpya ya Tumekuja wakiwa katika chumba cha Maabara wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea madarasa mbali mbali baada ya  kuifungua   Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua   Skuli ya Sekondari ya Tumekuja iliyojengwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa tatu  kulia )Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, na Viongozi mbali mbali wakishuhudia
Baadhi ya walimu wakiwa katika hafla ya ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwiny,  ambayo imejengwa  Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  alip[okuwa akitoa hutuba yake  katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Wakurugenzi na Maafisa mbali mbali wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  alipokuwa akitoa hutuba yake  katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM,Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Maafisa wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakiwa  katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwapongeza Watoto waliosoma Utenzi Abdulkarim Mohamed na Hamisuu Juma kutoka  Skuli ya Jendele Wilaya ya Kati,wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrsa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .[Picha na Ikulu] 09/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (pichani kushoto)  alipokuwa akitoa hutuba yake  katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliyojegwa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Leila Mohamed Mussa,Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar Komred Khamis Mbeto.