JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Marekani yapeleka msaada wa kijeshi Ukrane

Wanachama wa Nato wanafikiria kuisaidia Ukraine silaha zaidi na risasi kwa ajili ya kuendelea kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi.  Nchi ya Marekani imekuwa mstari wa mbele kutoa msaada mkubwa wa kijeshi kwa Ukraine, ambapo imetangaza tena kuwapa msaada mpya…

Ridhiwani: Serikali imedhamiria kuinua kaya maskini kwa kupeleka fedha za TASAF

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri nchini zimetakiwa kushirikiana na Serikali kupunguza umaskini kwenye baadhi ya kaya ikiwemoĀ  ,kuvikopesha vikundi vya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini( TASAF) ili viweze kujiinua kiuchumi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi…

Tazama matokeo kidato cha sita

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2023 NA UALIMU 2023 YAMETANGAZWA Bofya link chini kutazama matokeo haya MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/dsee/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/gatce/index.htm MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2023…

Azimio wamkalia kooni Ruto, watangaza maandamano tena wiki ijayo

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA, Nairobi Katibu mkuu wa chama cha upinzani cha ODM nchini Kenya ambaye pia ni Seneta wa jiji la Nairobi Edwin Sifuna ameitisha maandamano ya siku tatu kuanzia wiki ijayo, akiapa kuzidisha maandamano dhidi ya serikali…

Azimio wamkalia kooni Ruto, watangaza maandamano tena wiki ijayo

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA, Nairobi Katibu mkuu wa chama cha upinzani cha ODM nchini Kenya ambaye pia ni Seneta wa jiji la Nairobi Edwin Sifuna ameitisha maandamano ya siku tatu kuanzia wiki ijayo, akiapa kuzidisha maandamano dhidi ya serikali…

Abbott Fund kuendeleza ushirikiano na Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mfuko wa Abbott wenye makao yake makuu nchini Marekani umeahidi kuendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kuwajengea uwezo watalaam wa vifaa tiba na baadhi ya kada zenye uhaba zitakazoainishwa hapo…