Latest Posts
Ajiteka na kuomba milioni 2,Polisi wamdaka akimwagilia moyo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Tumshukuru Kibona (30), Mkazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha. Taarifa iliyotolewa na jeshi…
Twitter yamtoa kifungoni Donald Trump
Mmiliki mpya wa Twitter Elon Musk amesema akaunti Twitter ya Donald Trump imerejeshwa baada ya kufanya kura ya maoni ambapo watumiaji waliunga mkono hatua hiyo. “Watu wamezungumza,” aliandika Bw Musk, akisema kuwa 51.8% ya zaidi ya watumiaji milioni 15 wa…
Makamu wa Rais ataka viwanda viongeze uzalishaji
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango amekabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka ( PMAYA) huku akisisitiza umuhimu wa viwanda vya ndani kuongeza thamani ya bidhaa ghafi . Amevitaka viwanda kuachana…
Simba yarejea kileleni kibabe
Timu ya Simba SC imerejea Kileleni Kibabe baada ya Kuizamisha mabao 4-0 Timu ya Ruvu Shooting Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kukaa mechi nyingi bila kufunga bao Mshambuliaji…
Rais Samia atoa wito kwa viongozi wa dini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuwahimiza waumini wa dini zao kuzingatia mila, utamaduni na maadili ya Kitanzania. Rais Samia ametoa wito huo leo katika hafla ya…