Latest Posts
‘Walengwa TASAF tumieni fursa ya mkopo kuboresha maisha’
Na Veronica Mwafisi,Kasulu Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amewataka walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kuendelea kuboresha maisha yao kwa kutumia fursa ya uwepo wa mikopo ya vikundi ya…
Kaze mkurugenzi mpya wa ufundi timu ya Vijana Yanga
Uongozi wa klabu ya Yanga umemteua Mrundi, Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 pamoja na timu ya Wanawake, Yanga Princess.
Dkt. Mpango kumwakilisha Rais tuzo za CTI
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa siku ya Ijumaa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Makamu…
Waziri Mkuu aitaka NHC kushirikisha wabia wenye uwezo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuhakikisha kuwa linachambua na kupitia kwa umakini wawekezaji watakaoleta maombi ya ujenzi wa miradi ya ubia na Shirika hilo ili kupata wawekezaji wenye uwezo wa kukamilisha ujenzi kwa viwango…
Polisi yaonyesha makucha,yawafungia madereva watano leseni
Na Abel Paul – Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka limeendelea kutoa elimu kwa madereva na kuwafungia leseni za udereva watano kwa makosa mbalimbali. Akitoa taarifa hiyo…