Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na Kaka yake Issa Juma Ngalapa aliyefariki alfajiri ya leo, Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.

By Jamhuri