JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

HESLB yafungua dirisha la rufaa kwa siku saba kwa waombaji mikopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Novemba 13, 2022) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la rufaa ili kutoa fursa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa…

Sakho aifikishia Simba pointi 21

Baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Star jana,timu ya Simba SC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba ilipata bao la ushindi…

Serikali kuchukua jitiahada za karibu, usawa wa kijinsia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo Ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema Serikali imeendelea kuweka jitihada mbalimbali zitakazoleta usawa wa kijinsia katika jamii kwa uharaka zaidi. Dkt. Chaula ameyasema hayo katika kikao Kazi kilichojumuisha Wakurugenzi wa Sera…

Dkt. Kiruswa asuluhisha mgogoro kati ya mwekezaji na wana Butiama

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amefungua Kikao cha kutatua mgogoro baina ya mwekezaji mgodi wa Cata Mining na jamii inayozunguka mgodi huo baada ya malalamiko kuhusu ulipwaji wa fidia kwa wananchi waliyopisha eneo la uwekezaji. Mgodi wa Cata…

EWURA yajipanga kutatua malalamiko ya watumiaji huduma za nishati,maji

Na Mwandishi Wetu,Iringa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mhandisi Modeatus Lumato,amesema kuwa wamejipanga kupokea na kutatua malalamiko ya watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji ili wananchi wapate thamani halisi ya huduma…

Mkulima mbaroni kwa tuhuma za kushusha hadhi ya Rais Samia na Msataafu Kikwete kupitia TikTok

Mwanamme mmoja mkazi wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…