Latest Posts
TANROADS: Kichocheo cha uchumi mkoani Songwe
Mpaka wa Tunduma unaounganisha mataifa ya Tanzama na Zambia ndio wenye pilikapilika nyingi kati ya mipaka yotenchini. Hii inatokana na ukweli kuwa mpaka huu ndio unaopitisha asilimia kubwa yaa shehena inayoshushwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda mataita ya…
Askari Magereza,wafungwa wajeruhiwa
Wafungwa kadhaa wakiwemo askari magereza wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo Novemba 8, 2022 katika eneo la Kaloleni wilayani Kiteto mkoani Manyara. Mkuu wa Wilaya ya Kiteto,Mbaraka Batenga amethibitisha tukio hilo na kusema kuwa, chanzo cha ajali bado hakijajulikana. Amesema,…
Zanzibar wapigwa msasa kuhusu uzalishaji wa mazao bora ya bahari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Suleiman Masoud Makame amesema uzalishaji wa matango bahari na uboreshwaji wa zao la mwani unamanufaa makubwa kwa Zanzibar na Nchi za pembezoni mwa ukanda wa Bahari ya Hidi. Waziri Suleiman…
Chama,Aziz Ki wafungiwa, Simba,Yanga watozwa faini
Viungo washambuliaji, Mzambia Clatous Chota Chama wa Simba Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso wamefungiwa mechi tatu kila mmoja kwa makosa yanayofanana.
Vikao vya kutatua hoja za muungano havijapoa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema vikao vya kupokea na kujadili changamoto za Muungano bado vipo na vitaendelea kuwepo kutokana na umuhimu wake katika mustakabali wa Muungano wetu. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)…
Rais Mwinyi aitaka BOT kuwezesha upatikanaji wa dhamana za mikopo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuwezesha upatikanaji wa dhamana za mikopo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo Visiwani. Dkt. Mwinyi ametoa maelekezo hayo alipokutana…