Latest Posts
Balozi Uholanzi aeleza umuhimu wa mabadiliko sheria ya habari
Na Stella Aron, JamhuriMedia,Dar BALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer amelipongeza Jukwaa la Wahariri (TEF),kwa juhudi kubwa za kutoa elimu juu ya umuhimu wa maboresho ya sheria za habari nchini. Akifungua mafunzo kwa wahariri na wanahabari yanayoangazia uchechemuzi…
Marekani, Tanzania zasherehekea mafanikio mapambano dhidi ya malaria
Balozi wa Marekani Dkt. Donald Wright na Waziri wa Afya, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, wameshiriki katika hafla ya kusherehekea miaka mitano ya mradi wa Okoa Maisha Dhibiti Malaria (OMDM) na miaka miwili ya mradi wa Impact Malaria. Pia wamezindua miradi miwili…
IGP apangua makamanda, amuhamisha Mutafungwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amewahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi kutoka katika nafasi zao na kuwapangia sehemu zingine. kupitia taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime…
Malkia aipongeza Tanzania kwa ukuaji wa huduma jumuishi za kifedha
Malkia Maxima wa Uholanzi ameipongeza Tanzania kwa ukuaji wa huduma jumuishi za fedha nchini ambapo idadi ya Watanzania wanaopata huduma za kifedha imepanda kutoka asilimia 17 kwa mwaka 2010 hadi kufikia asilimia 58 kwa mwaka 2022. Akizungumza alipokutana na Gavana…
Wiki ya AZAKI kujadili maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society (CFC) Francis Kiwanga (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya AZAKI inayotarajiwa kuanza rasmi Oktoba 24 hadi 28, 2022 Jijini Arusha. (kushoto) ni, Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Norwegian…