Latest Posts
Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra
DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…
Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa
TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…
Tutu alikuwa mwanaharakati wa kimataifa
Na Nizar K Visram Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Cape Town (Afrika Kusini) alipofariki dunia Desemba 26, 2021 akiwa na umri wa miaka 90, ulimwengu ulimlilia. Wengi wakakumbuka jinsi alivyokuwa mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi (ukaburu) nchini mwake. Wakakumbuka…
Dk. Biteko ageuka mbogo
KAHAMA Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi maofisa saba wa madini wa mikoa mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Akizungumza na wafanyabiashara wa madini wa Kanda ya Ziwa mjini hapa, Dk. Biteko amesema wapo…
Waziri Mkuu anena
RUANGWA Na Deodatus Balile Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevunja ukimya dhidi ya watu wanaomsakama mitandaoni wakidai anataka kugombea urais mwaka 2025, akiwataja kuwa watu hao wana nia ya kumchafua na kuvuruga utulivu na kasi…
TAKUKURU wambambikia kesi mwandishi
*Watumia taarifa walizopewa na JAMHURI kutaka kuuzima ukweli *Kamanda wa TAKUKURU Arusha amchuuza Mhariri, amlengesha *Ashiriki ubambikiaji kesi huku mtuhumiwa akitamba kuiweka mfukoni Serikali *Naibu Mkurugenzi Mkuu bila kusikiliza asema kesi iendelee, ni jinai ARUSHA Na Mwandishi Wetu Katika hali…