JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ubalozi wa China chachu ya maendeleo ya elimu nchini

Ubalozi wa China nchini Tanzania umeendelea kutoa msaada kwenye maendeleo ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa shule na kutoa elimu ya lugha ya Kichina ambayo imekuwa ikifundishwa katika shule na vyuo mbalimbali nchini. Wiki iliyopita Ubalozi…

Busara ya Nyerere ifanye kazi Simba

Fedha si msingi wa maendeleo! Haya ni maneno yaliyowahi kutamkwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yalisemwa miaka mingi kabla dunia haijautambua utandawazi. Tunayaona ndani ya Simba inayotaka kumtimua Patrick Aussems.  Mwalimu Nyerere alimaanisha kwamba fedha ni matokeo…

Kampuni za bilionea Friedkin zaminywa

Mbinu za ukwepaji kodi unavyofanywa na kampuni za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazidi kufichuka baada ya kubainika kuwa kwa miaka zaidi ya 30 serikali imekoseshwa mabilioni ya shilingi kupitia udanganyifu kwenye mishahara. Akaunti maalumu kwa mpango huo zimefunguliwa ughaibuni na kutumika…

Shetani anapokuwa malaika na malaika kuwa shetani – (1)

Hivi karibuni Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba ilimhukumu kunyongwa hadi kufa mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba.  Mwalimu huyo alihukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumuua kwa makusudi mwanafunzi wake. Mwanafunzi huyo…

Kachero mstaafu bado apigwa danadana mafao yake

Kachero mstaafu wa Jeshi la Polisi, Thomas Njama, ambaye anadai mafao yake yaliyoyeyuka katika hali ya kushangaza, amerudishwa tena Jeshi la Polisi ambako ameambiwa ndiko anakoweza kupata ufumbuzi wa suala lake. Hatua hiyo imekuja baada ya Njama kukutana na maofisa…

Halmashauri ya Mkuranga kupandishwa kizimbani

Zaidi ya wakazi 1,100 kutoka wilayani Mkuranga mkoani Pwani wameruhusiwa na Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kuishitaki Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga iliyogawa ekari 750 za ardhi yao kwa mwekezaji. Wakiwakilishwa na wenzao saba, wananchi hao 1,119 walikwenda mahakamani kudai…