Rais Mteule wa Nigeria  Mhe. Asiwaju Bola Ahmed Tinubu akiapa kuwa Rais wa Nchi hiyo kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Februari 2023, Sherehe hizo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Eagle Square Jijini Abuja tarehe 29 Mei 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Eagle Square Jijini Abuja kwa ajili ya kushiriki katika Sherehe ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Nigeria  Mhe. Asiwaju Bola Ahmed Tinubu tarehe 29 Mei 2023.

By Jamhuri