Latest Posts
Makamu Rais afanya mazungumzo na balozi wa Singapore
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango leo tarehe 30 Agosti 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Douglas Foo, Mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika Mazungumzo hayo, Makamu wa Rais…
TCRA:Sensa ya mwaka huu itaonyesha shughuli mbalimbali za kijamii
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawalisiano Tanzania (TCRA),Dkt Jabir Bakari amesema kwamba Sensa ya mwaka huu itaonesha shughuli za biashara ambazo awali zilikuwa hazijulikani na Mamlaka ya Mawasiliano,TCRA. Ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha…
Tabora yaongoza usajili wa laini za simu Kanda ya Kati
Mkoa wa Tabora unaongoza mikoa ya kanda ya kati kwa Tanzania Bara kwa uwiano mkubwa kati ya wakazi wa mkoa huo na laini za simu zilizosajiliwa, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za mawasiliano nchini. Meneja mkuu wa kanda…
NMB yazindua ATM ya kubadili fedha za kigeni uwanja wa KIA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kilimanjaro Benki ya NMB leo imezindua rasmi mashine ya kubadilisha fedha (Forex – ATM) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) yenye uwezo wa kubadili fedha za kigeni kwenda shilingi za Kitanzania. Hii ni hatua nyingine…
Chalamila atoa siku 7 kwa watumishi wa bandari kubadilika
N Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,ametoa siku saba kwa watumishi wa makao makuu mamlaka ya Bandari(TPA),kubadilika kabla hajaanza kuchukua hatua dhidi yao. Chalamila, ametoa agizo hilo wakati akiongea na watumishi wa mamlaka hiyo wakati akikagua shughuli…