Latest Posts
Mitego kwa makocha wageni 2019/2020
Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umeanza hivi karibuni kwenye viwanja mbalimbali huku ukiwa na mvuto wa aina yake. Ndiyo msimu wa mwisho wenye timu 20, kwani kwa mujibu wa waandaaji, kuanzia msimu ujao timu hizo zitapungua kwa matakwa ya wadhamini….
CWT inavyopigwa
Maji yanazidi kuchemka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), huku mkataba wa kinyonyaji wa mshauri wa mradi wa ujenzi na madeni kwenye Mfuko wa Jamii wa PSPF, yakiwa ni miongoni mwa mambo yanayoendelea kwenye chama hicho. JAMHURI limebaini CWT…
‘Tumeuza kila tulichonacho, hatuwezi kutoka Muhimbili’
Mkazi wa Wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma, Sijawa Jafar, mwenye umri wa miaka 35 ameiomba serikali na wadau mbalimbali kujitokeza kumsaidia kulipia gharama za matibabu ya mumewe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zinazofikia Sh milioni 3.7, baada ya…
Serikali yazinduka matrekta mabovu
Na Deodatus Balile Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za ubovu wa matrekta ya URSUS yanayouzwa kwa wakulima nchini kutoka Poland, Bunge limeibana serikali, ambayo nayo imezinduka na kuchukua hatua, JAMHURI linathibitisha. Kampuni ya URSUS S. A. iliingia mkataba…
‘Trafiki’ Dar wanatosha
Wakati Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, akifikiri kuongeza idadi ya askari wa usalama barabarani, mamlaka ndani ya Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inao askari hao wa kutosha. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP),…
TRAWU wafukuzana Dar
Wanachama wa matawi matano wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) wamekutana jijini Dar es Salaam na kuunga mkono uamuzi wa Kamati Maalumu ya Dharura wa kuwasimamisha kazi viongozi wa kitaifa wa chama hicho. Hatua hii imetokana na mgogoro…