Latest Posts
Bili za miili sokomoko Muhimbili
Baadhi ya ndugu hulazimika kutelekeza miili ya wapendwa wao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana hali ngumu ya uchumi, JAMHURI limeelezwa. Ndugu hao huchukukua hatua hiyo baada ya kushindwa kulipia gharama za matibabu za mpendwa wao alipokuwa akiendelea na matibabu. Ofisa Ustawi…
Maji sasa ni anasa Mwanza
Maji ni anasa katika Jiji la Mwanza, hivyo ndivyo mtu anavyoweza kuelezea kulingana na ongezeko la bei ya maji katika Jiji la Mwanza. Ongezeko la bei ya maji kwa ndoo moja ya lita 20 imepanda kutoka Sh 14 hadi kufikia Sh 24.50. Yaani imeongezeka…
Kushangilia wanaotuumiza ni kukosa uzalendo kwa nchi
Hadi tunakwenda mitamboni, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilikuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kutokana na amri ya mahakama. Sababu za kukamatwa kwa ndege hiyo bado hazijawekwa bayana, japo kuna maelezo kuwa hatua hiyo imetokana na serikali yetu kudaiwa….
NINA NDOTO (32)
Jifunze kuamka mapema “Kama una ndoto ya kuajiriwa, usilale hadi saa moja.” alisema Ruge Mutahaba akiwa mkoani Mbeya katika fursa mwaka 2017. Linaweza kusikika kama jambo geni, lakini watu waliofanikiwa kwenye sekta mbalimbali ni watu waliojijengea tabia ya kuamka mapema….
NMB yazidi kumwaga mamilioni sekta ya elimu
Benki ya NMB imekwisha kutoa kiasi cha zaidi ya Sh milioni 570 hadi sasa kati ya Sh bilioni 1 ilizotenga kama uwajibikaji wake kwa jamii kwa mwaka huu wa 2019. Kiasi hicho kimetumika zaidi kusaidia miradi mbalimbali ya kijamii kama…
HOTUBA YA MHESHIMIWA DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA SADC DAR ES SALAAM, TAREHE 18 AGOSTI, 2019
Naomba nianze kwa kutoa taarifa. Jana, baada ya kusoma sehemu ya hotuba yangu ya ukaribisho kwa kugha ya Kiswahili; Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walifurahi na kuvutiwa sana. Hivyo basi, tulipokwenda tu kwenye mkutano wetu wa ndani, wote…