JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Malaria tishio Ukerewe

Maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika Mkoa wa Mwanza yanazidi kuiweka jamii ya mkoa huo hatarini. Kwa sasa Mkoa wa Mwanza una kiwango cha asilimia nane ya maambukizi ya ugonjwa huo ikiwa ni juu ya kile cha taifa ambacho ni…

Tukipeleke Kiswahili SADC

Watanzania tumejiandaa kupokea ugeni mkubwa kwa wakati mmoja, kuanzia wiki ya kwanza ya Agosti hadi ile wiki ya tatu. Macho ya dunia yatakuwa Tanzania kufuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Wakati wageni…

NINA NDOTO (29)

Kufanana ndoto si kufana matendo   Watu wawili kuwa na ndoto moja haimaanishi kuwa kila watakachofanya kitafanana. Kuna aliyewahi kuimba akisema, “Hata vidole havilingani”. Vyote ni vidole, lakini vinatofautiana kwa urefu. Hata watu ambao tunawaita mapacha wanaofanana bado kuna vitu…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (25)

Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji: “Mpendwa msomaji, je, unafahamu kodi inayoitwa Kodi ya Ongezeko la Mtaji (Capital Gains Tax) na inatozwa kwenye bidhaa zipi? Ni bidhaa mbili ambazo kwa njia moja au nyingine watu wengi hata wasiokuwa wafanyabiashara…

Migahawa ya kimataifa yapenya China kibiashara

Katikati ya mivutano ya kibiashara kati ya China na Marekani, mgahawa wenye mtandao mkubwa nchini Marekani umeanza kujipenyeza China kibiashara. Hali hiyo inajitokeza katika wakati ambao hivi karibuni Marekani na China zimeonyesha kutunishiana misulu baada ya Rais Donald Trump wa…

Hotuba ya Rais uzinduzi wa Terminal III Uwanja wa JNIA Agosti 1, 2019

Rais Magufuli: Watanzania tukatae kuitwa maskini Ndugu zangu, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha leo hapa tukiwa wazima na wenye siha njema. Pia namshukuru sana Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kwa kunialika kwenye hafla hii ya uzinduzi wa…