JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kesi ya aliyekuwa bosi PSSSF, hukumu haijakamilika

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imesema bado haijakamilisha kuandaa hukumu katika  kesi inayowakabili Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF) Kanda ya Arusha,Rajabu Kinande na wenzake wanne Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la…

Rais mpya wa Nigeria aenda Uingereza ‘kupumzika’

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu amesafiri hadi Ufaransa na Uingereza “kupumzika” na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa kwake Mei 29. Tunde Rahman, msemaji wa Bw Tinubu, katika taarifa yake Jumatano alisema kuwa mteule aliondoka nchini Jumanne. Kwa…

Marekani yaipongeza Tanzania kwa kutoa taarifa za ugonjwa Marburg

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle ameipongeza Tanzania kwa uwazi na utoaji wa haraka wa Taarifa kwa umma kuhusiana na ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera. Ameyasema hayo jana jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Afya…

Taifa Stars ipo tayari kwenda AFCON

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Baada ya kuweka kambi huko nchini Misri na kuanza mazoezi kwajili ya mchezo wa mzunguko watatu wa kundi F,kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’, Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche ameeleza namna…

Geita Gold yaitaka Yena

Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Klabu ya Geita Gold imetangaza nia ya kushiriki katika michuano ya Kimataifa msimu wa 2023/24 kwa ubora mkubwa zaidi kwa kuweka mikakati mbalimbali itakayowasaidia katika kufikia malengo hayo. Katibu mtendaji wa Geita Gold, Simon Shija amesema…

Ihefu yajizatiti kuwakabili Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Kikosi cha Ihefu FC kimeanza rasmi mazoezi ya kujifua chini ya benchi la ufundi la timu hiyo, kuelekea mchezo wa Robo Fainali kombe la shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ dhidi ya Simba SC utakaopigwa jijini Da…