Latest Posts
Tukio hili tunalitafsirije? (2)
Mifano hai ya waliopata ‘rustication’ ni kama hivi (sitawataja majina humu), mmoja alikuwa ni chifu kutoka Usukumani kule Shinyanga. Chifu huyu alitimuliwa Shinyanga akapelekwa kuishi Tunduru, mahali ambako alikuwa hajawahi kufika wakati ule wa ukoloni. Mwingine alikuwa wakili, Mhindi wa…
Watoa huduma za mawasiliano kushindanishwa
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeamua kutoa changamoto kwa watoa huduma za mawasiliano kwa kuanzisha tuzo ambazo zitaibua watoa huduma bora. Akizungumza na wahariri wa habari wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, amesema tuzo hizo zinatarajiwa kuwa…
Umakini wa JAMHURI unapovuka mipaka ya nchi
Si jambo la kupendeza sana kwa mtu kujisifia au kuonekana unafagilia upande uliopo wewe, lakini pia sidhani kama ni kosa la jinai ukiamua kuonyesha yaliyo mema kwa upande wako. Ndiyo maana hata mimi ninaamua kuonyesha umakini wa Gazeti la JAMHURI…
Bei mazao ya chakula yapanda
Bei za jumla za mazao mengi ya chakula zilipanda kwa kiasi kikubwa mwezi Januari mwaka huu ikilinganishwa na mwezi uliotangulia kutokana na kuongezeka kwa mahitaji yake kwenye baadhi ya nchi jirani, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Kuongezeka kwa bei…
Faida za mawakala wa benki zaongezeka
Kuongezeka kwa mawakala wa benki kwa zaidi ya mara 30 tangu mwaka 2013 kumesaidia kwa kiwango kikubwa kusogeza huduma za kifedha karibu na wananchi na kuifanya biashara hiyo kuwa chanzo kizuri cha ajira na mapato kwa kaya mbalimbali. Kwa hivi…
Mwandishi akumbuka Ebola ilivyotisha DRC
Wiki iliyopita Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walitangaza kuruhusiwa kutoka hospitalini mtu wa mwisho aliyekuwa ameambukizwa Ebola, ugonjwa hatari ambao umeua maelfu ya watu barani Afrika. Hiyo ni moja ya dalili…