Latest Posts
Serikali yajipanga kumwinua mwanamke
Serikali imeitaka jamii kuhakikisha inapinga ukatili wa aina zote ili kufikia malengo ya kuwa na kizazi chenye usawa kati ya wanawake na wanaume. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo…
Ongezeko la watu tishio kwa wanyamapori
Ongezeko la idadi ya watu limetajwa kama moja ya mambo yanayosababisha kuongezeka kwa migogoro inayotokana na muingiliano wa wanyamapori na binadamu. Hayo yamebainishwa katika semina ya mafunzo ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira…
Kilwa hawakujenga mabondeni, wasaidiwe
Zimepita wiki kadhaa sasa tangu ziwepo taarifa za mafuriko makubwa kuvikumba baadhi ya vijiji katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Ukiacha watu 14 ambao waliripotiwa kufariki dunia, watu wengine zaidi ya 15,000 waliathiriwa na mafuriko hayo. Mkuu wa Mkoa wa…
Serikali yaanika mikakati ya kukabiliana na corona
Tanzania imeanza kuchukua hatua madhubuti kuweka mikakati itakayoiwezesha kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona iwapo utatokea nchini. Mikakati hiyo imebainishwa wiki iliyopita na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Pamoja na kueleza yaliyofanywa…
Tukio hili tunalitafsirije? (1)
Nimeshtuka sana na kuingiwa wasiwasi kusikia eti yupo mbunge amediriki kuandika barua kwenda Benki ya Dunia kutaka zuio la fedha za maendeleo ya elimu hapa nchini. Nasema nimeshtuka kwa vile aliyetenda hivyo ninamfahamu kama ni askari wa Jeshi la Akiba…
Tumsaidie Rais kazi ngumu ya kuliongoza taifa
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwahi kusema kuwa urais ni kazi ngumu, akaifananisha na mzigo mzito. Nayaamini maneno hayo ya mzee wa Kizanaki. Nimejitoa wazi kutaka kumsaidia rais wetu kupambana na ugumu huu ninaouona. Kwa sababu rais anaongoza…