JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Jafo afungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa mataifa duniani kushirikiana katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Ametoa wito huo leo wakati akifungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi…

Balozi Fatma: Fanyeni kazi kwa bidii na ushirikiano

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab amewasihi watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kwa ushirikiano mkubwa ili kuiwezesha Serikali kufikia malengo yake iliyojiwekea….

Kunenge:Tushirikiane kusaidia wenye mahitaji ya viungo bandia

Mkuu wa mkoa wa Pwani ,Abubakari Kunenge amewataka wadau na wale wenye uwezo wa kusaidia watu wenye ulemavu wenye mahitaji ya viungo bandia,kuwawezesha ili waweze kuendelea na shughuli zao. Ameyasema hayo Mjini Kibaha wakati wa ufunguzi wa Desire Charitable Hospital…

Watoto laki 263 Pwani kupata chanjo ya Polio

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuchanja zaidi ya watoto zaidi ya laki 263 chanjo ya ugonjwa wa polio katika kipindi cha kampeni hiyo ambayo itadumu kwa kipindi Cha siku nne. Hayo yamebainishwa na Mganga mkuu wa Mkoa wa…