Latest Posts
RC Mara awashtaki wabunge kwa utoro kwenye vikao
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewashitaki wabunge wa majimbo kwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa kwa kutohudhuria vikao vya Bodi ya Barabara ikiwemo kikao cha ushauri cha mkoa RCC bila kutoa taarifa yeyote. Akizungumza…
TANROADS Pwani yatoa mapendekezo ya mpango kazi wa bil.52/-
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Wakala wa Barabara mkoani Pwani (TANROADS),imetoa mapendekezo ya kiasi cha fedha sh.bilioni 52.378 katika mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwa ni mpango kazi wa matengenezo ya barabara na miradi ya maendeleo. Aidha, TANROADS Pwani,imefanya kazi kubwa kutekeleza mradi…
Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia yakamilika
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa…
Yanga SC yamtaka Fei Toto kuripoti kambini haraka
Klabu ya Yanga imemtaka mchezaji wake Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuripoti kambini haraka iwezekanavyo mara baada ya klabu hiyo kupokea marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji. Hayo yamesema kupitia taarifai liyotolewa na…
WCF yatoa msaada kwa watoto wanaofanyiwa upasuaji JKCI
Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, wafanyakazi wanawake kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wametoa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya moyo kwenye Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam Machi 6, 2023. Wanawake hao…





