Latest Posts
Mafanikio katika akili yangu (15)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Ngoja nimtumie barua pepe, ninaona hapatikani,’’ alisema yule mhariri wa makala alizokuwa akituma Noel. Walikuwa hawajawahi kuonana hata siku moja na Noel, Noel alikuwa hajawahi kufika katika ofisi za gazeti hilo. “Fanya mawasiliano…
Amani ya nchi ni muhimu kuliko ushindi wa mtu au chama katika uchaguzi
Wakati nchi inajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, amani ya nchi ni jambo linalotakiwa kuangaliwa kwa umakini mkubwa. Nchi zetu hizi zinazoitwa za dunia ya tatu, au nchi zinazoendelea, mara nyingi zimetokea kuvuruga amani yake wakati kama huu…
Singeli kuifunika Bongo Fleva? (1)
“Kila kitabu na zama zake.” Usemi huu umejidhihirisha kufuatia kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli uliochukua nafasi kubwa katika masuala ya burudani nchini. Muziki huu umekamata maeneo mengi nchini kufuatia mirindimo na maneno yanayoendana na wakati uliochagizwa kwa kiasi kikubwa…
Mbape hakamatiki
Kylian Mbape, mshambuliaji mahiri wa PSG ya Ufaransa anatajwa kuwa ndiye mchezaji ghali duniani hivi sasa akiwa na thamani ya Euro milioni 265.2, akifuatiwa na Raheem Starling wa Manchester City ya Uingereza mwenye thamani ya Euro milioni 223.7. Lakini makinda…
Kocha gani ataiweza Ligi Kuu?
Kocha anayedumu ndani ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa zaidi ya misimu mitatu anastahili kupewa pongezi siku ile anayopewa barua ya kufukuzwa kazi. Wengi wao wakidumu sana ni msimu mmoja tu, baada ya hapo sababu za ajira kusitishwa…
CAG amchunguza Dk. Kigwangalla
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeguswa na matumizi mabaya ya fedha za umma yanayodaiwa kufanywa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, na kuna taarifa za uhakika kuwa imeanza kumchunguza. Pamoja na…