Latest Posts
Katavi, Tabora vipi?
Mpita Njia ameshitushwa na taarifa za hivi karibuni kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshika nafasi ya tatu barani Afrika katika ndoa na mimba za utotoni. Hizi si tu ni taarifa za kushitua, bali ni taarifa za aibu katika wakati…
Ajali ya ndege yaua abiria wote
Watu wote 157 waliokuwa safarini katika ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, Boeing 737, wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kuanguka. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kuelekea mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Jumapili…
Mjamzito afanya Mtihani wa Taifa, afaulu
Shule ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, mwaka jana iliruhusu mwanafunzi mjamzito kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu Kidato cha Nne. Mwanafunzi huyo (jina linahifadhiwa) alifanya mtihani huo kwa namba S 1437/0002 katika matokeo ya mtihani yaliyotangazwa Januari mwaka…
Wawekezaji wamchongea DC kwa Rais
Uamuzi wa wawekezaji wilayani Hai, Kilimanjaro kumshtaki mkuu wa wilaya (DC) hiyo kwa Rais John Magufuli umepongezwa na baadhi ya wafanyabiashara na kuonekana kuwa ni mwanzo wa kumaliza vitendo vya kunyanyaswa. DC wa Hai, Lengai ole Sabaya, anatuhumiwa na wawekezaji…
Maji ni kichocheo cha maendeleo
Wiki ya Maji ni fursa maalumu ya sekta ya maji nchini kujitathmini kwa kujilinganisha na nchi nyingine duniani katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya maji. Maji ni kichocheo muhimu cha maendeleo katika sekta mbalimbali za uchumi hapa nchini, ikiwemo…
Tanzania tunao wajibu wa kuziokoa Rwanda, Uganda
Fukuto la kutokea mfarakano na hata umwagaji damu linaendelea kati ya Uganda na Rwanda. Lakini pia kuna msuguano mkubwa wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Burundi. Mataifa haya matatu ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hii ina maana kwamba…