JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Madaktari bingwa kutoka China watua Hospitali ya Rufaa Mbeya

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya(MZRH), imepokea Madaktari bingwa wanne kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ambao wanatarajiwa kutoa huduma mbalimbali za kibobezi, ikiwemo za upasuaji kwa kushirikiana na Madaktari wa Hospitali hiyo. Akizungumza ofisini kwake mapema leo…

Klabu 12 kushiriki mashindano ya wazi ya kuogelea

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jumla ya klabu 12 zitashiriki katika mashindano ya wazi ya klabu bingwa ya Taifa yaliyopangwa kufanyika kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki kwa siku ya Jumamosi na Jumapili. Klabu hizo ni…

Airtel Money kutoa Gawio Bil.1.5bn/- kwa Wateja,mawakala

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imetangaza kuanza kugawa gawio la Tshs 1.5 bilioni kwa Wateja, Mawakala na Wadau kutokana na matumizi yao ya huduma ya Airtel Money . Akizungumza leo Septemba 22,2022 jijini Dar…

Kiingereza cha Msukuma chazua gumzo

Kiingereza cha mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufuku ‘Msukuma’ kimezua gumzo mitandaoni baada ya mbunge huyo kumuuliza swali mgombea wa ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala), Habid Mnyaa. Gumzo hizo zimeanzia bungeni baada ya kupewa nafasi ya kuuliza…

Zaidi ya mil.183/-kuhudumia Timu za Taifa

Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Pauline Gekul, amesema kiasi cha shilingi Milioni 183.5 zimetengwa katika mwaka huu wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuhudumia timu za Taifa. Gekul ameeleza hayo Bungeni jijini Dodoma leo Septemba…

Kifo kingine chahusishwa na Ebola Uganda

Wizara ya Afya ya Uganda inasema mtoto wa mwaka mmoja anashukiwa kufariki kutokana na Ebola katika wilaya ya kati ya Mubende siku ya Jumanne. Alikuwa miongoni mwa watu kumi na moja waliowekwa karantini kufuatia kisa kilichothibitishwa cha mwanamume mwenye umri…