JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kijana aliyeokoa watu ajali ya ndege Serikali ‘yamuheshimisha’

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana Majaliwa Jackson aliyeona ndege ikianguka na kuamua kwenda kutoa msaada wa uokoaji akabidhiwe kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na aingizwe katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili apate mafunzo zaidi. Hayo…

Ugonjwa wa figo unavyogharimu maisha

Tanzania ni moja ya nchi zinazoendelea zilizoathiriwa kwa kiwango kikubwa na Magonjwa Yasiyoambukiza,kutokana na kuwaathiri watu wengi na kusababisha vifo. Mwaka huu kitaifa maadhimisho ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza yanafanyika mkoani Mwanza yakiwa na kauli mbiu ya Badili Mtindo…

Dahua Teknology yaipongeza serikali ya Rais Samia

Na Mussa Augustine, Jamhuri Kampuni ya Dahua Teknoloji inayojihusisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifaa vya ulinzi imesema serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweka Mazingira rafiki kwa Wawekezaji hali ambayo imechochea Wawekezaji Wengi kuja kuwekeza…

Miili 19 yaagwa Kaitaba,Kijana aliyesadia kuokoa apewa kitita cha fedha

Majeneza yenye miili ya watu 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Jumapili Novemba 6, 2022 kwa kuzama katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kagera. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamaila ametoa kiasi cha Shilingi Milioni moja…

Majina waliofariki ajali ya ndege haya hapa

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo katika ziwa Victoria wakati ikitua imeongezeka na kufikia vifo vya watu 19. Amewataja walioopolewa wakiwa wamekufa…