Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipitia Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na  Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae  pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya William Samoel Ruto, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Moses Kuria, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. William Samoel Ruto, mara baada ya kumkabidhi Ujumbe kutoka kwa Rais Ruto Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Febuari, 2023. Ujumbe huo ulilenga zaidi kwenye kuongeza na kudumisha undugu na pia ushirikiano wa Kiuchumi na Kibiashara.

By Jamhuri