JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mhoja ataka vyama vya ushirika kusimamiwa kikamilifu

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MRAJIS msaidizi wa vyama vya ushirika Mkoa wa Ruvuma,Peja Mhoja amewataka mameneja wa vyama vya msingi na vyama vikuu vya ushirika, kutumia mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU )mfumo ambao utakwenda kurahisisha zoezi la upatikanaji…

Jaji Mkuu:Usuluhishi unachochea uchumi, amani

Na Mary Gwera,Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa umma kujielekeza zaidi kwenye utatuzi wa migogoro mbalimbali kwa njia ya Usuluhishi ili kukuza uchumi, kuokoa muda na hatimaye kupunguza mlundikano wa mashauri mahakamani. Akizungumza wakati wa…

Wiki ya Sanaa ya ‘Tukutanae Dar’ kuanza rasmi Februari Mosi

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kwa kushirikiana na Taasisi ya Nafasi Arts Space linatarajia kufanya toleo la pili la wiki ya sanaa lijulikanalo kama”Tukutane Dar” kuanzia Februari 1 hadi 5 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa…