JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Balozi Chana aishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa jitihada inazofanya za kuishauri na kutoa maoni yanayoiwezesha Serikali kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo kupitia…

Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuboresha upatikanaji dawa

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuboresha hali ya upatikanaji wa dawa nchini na kuhakikisha bidhaa muhimu zinapatikana kwa urahisi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti…

Makamu Rais afanya mazungumzo na balozi wa Singapore

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango leo tarehe 30 Agosti 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Douglas Foo, Mazungumzo yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika Mazungumzo hayo, Makamu wa Rais…

TCRA:Sensa ya mwaka huu itaonyesha shughuli mbalimbali za kijamii

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawalisiano Tanzania (TCRA),Dkt Jabir Bakari amesema kwamba Sensa ya mwaka huu itaonesha shughuli za biashara ambazo awali zilikuwa hazijulikani na Mamlaka ya Mawasiliano,TCRA. Ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha…

Tabora yaongoza usajili wa laini za simu Kanda ya Kati

Mkoa wa Tabora unaongoza mikoa ya kanda ya kati kwa Tanzania Bara kwa uwiano mkubwa kati ya wakazi wa mkoa huo na laini za simu zilizosajiliwa, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za mawasiliano nchini. Meneja mkuu wa kanda…