JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Makampuni ya Japan yavutiwa na kahawa ya Tanzania

Makampuni ya Japan yameonesha kuvutiwa na kahawa ya Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan yajulikanayo kama 2022 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition yaliyofanyika jijini Tokyo tarehe 12 – 14 Oktoba, 2022. Maonesho hayo ambayo yalishirikisha taasisi zipatazo…

Wampongeza Rais Samia kuifungua Kigoma katika sekta ya ujenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan Oktoba 16, 2022 akiwa Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma amefungua rasmi barabara ya Nyakanazi- Kabingo( km.50) ikiwa imejengwa kwa takriban shilingi bilioni 43 na ujenzi wake kusimamiwa na TANROADS. Akizungumza katika ufunguzi…

Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…

Yanga ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Bao lililoizamisha Yanga limefungwa na…