JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania yashika nafasi ya 28 michezo ya Jumuiya ya Madola

Na Issa Michuzi,JamhuriMedia,Birmingham Tanzania imehitimisha ushiriki wake katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza, ikiwa katika nafasi ya 28 baada ya mategemeo yake manne ya mwisho kushindwa kuambulia chochote kwenye michezo yao usiku wa kuamkia leo….

Walengwa wa TASAF Morogoro wawezeshwa kuzalisha funza chuma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Jenista Mhagama amesema walengwa wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini Manispaa ya Morogoro unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wamewezeshwa kuendesha mradi wa funza chuma…

‘Tunataka mita za maji vijijini ziwe za malipo kabla ya matumizi’

Harare, Zimbabwe Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza timu ya wataalamu kutembelea nchi ya Afrika Kusini na Zimbabwe ili kujifunza namna nchi hizo zinavyoshirikisha sekta binafsi katika kusimamia miradi ya maji vijijini sambamba na utumiaji wa dira za…

‘Sensa ya Makazi itapunguza migogoro ya ardhi’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ilemela Wananchi wametakiwa kushiriki na kutoa taarifa sahihi za Makazi na umiliki wake wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mapema mwezi Agosti 23, mwaka huu, ili kupunguza migogoro ya ardhi inayoepukika. Rai hiyo imetolewa…

Mkenda autaka uongozi Rungwe kujenga chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA. Waziri Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 7 Agosti 2022…